Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Showing posts with label Ali Kiba. Show all posts
Showing posts with label Ali Kiba. Show all posts

Alikiba aeleza kwanini aliimba nyimbo chache Mombasa

October 10, 2016 Mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii Video ya alichokisema msanii Alikiba kuhusu kuperform kwa muda mfupi kwenye tamasha la Mombasa Rocks lililofanyika weekend iliyopita nchini Kenya.
Kufahamu alichokisema Alikiba wakati akizungumza na Mtangazaji wa Radio Citizen ya Kenya, William Tuva “Mzazi” Tazama video hii.




ULIPITWA NA SHOW YA ALIKIBA KWENYE CONCERT YA MOMBASA? NIMEKUWEKEA HAPA


3

Alikiba Amuombea Kura Diamond Platnumz

Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa yeye kusaini mkataba na kampuni ya ‘Sony Music’ jambo kubwa sana katika maisha yake ya muziki.

“Kiukweli toka nimerudi rasmi kwenye game na kutoa wimbo wa Mwana mashabiki walipokea vizuri sana Africa Mashariki, na kadili nilivyokuja kutoa wimbo mwingine wa Chekecha walizidi kuongezeka mashabiki na kujiona nina mashabiki wengi, hivyo kuja kusaini mkataba na ‘Sony Music’ ndani ya muda mfupi hivi kwangu mimi najiona ni kama nimepiga msamba maana siyo hatua za kawaida” alisema Alikiba.

Mbali na hilo Alikiba alimuombea msanii Diamond Platnum kwa watanzania ili wampigie kura kwenye tuzo anazoshiriki sasa na kusema kuwa yeye ndiye msanii pekee anayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo hivyo watanzania wampigie kura ili aweze kushinda. 3

VideoMPYA: Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’

Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ ambayo imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May jana 19 2016 Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na timu yake wajue watu wanasemaje
3

Video:Alikiba Anakualika Kuitazama Video yake Mpya Inaitwa ‘Aje’

Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ ambayo imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May 19 2016 Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na timu yake wajue watu wanasemaje

3

Alikiba Ala Shavu Kubwa....Asaini mkataba na Sonny Music Huko South Africa

Alikiba baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpaka leo hii na kusema atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada ya kuweza kusaini mkataba na 'Sony Music'

"Nataka kukumbuka nilivyorudi kwenye game 2014 toka nimepumzika, nimepiga hatua kubwa sana na hii ni kutokana na support kutoka kwa mashabiki, mtanisamehe mashabiki pale nilipokosea, ila kwa furaha niliyonayo leo kusaini mkataba huu naomba nikirudi nifanye party ili nifurahi pamoja na mashabiki zangu ambao walikuwa na mimi mwanzo mpaka sasa" alisema Alikiba.

Mbali na hilo Alikiba amewashukuru waandishi wa habari na vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikimpa support kwenye kazi zake za muziki siku zote. 3

Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’

Mkali wa bongo fleva Alikina May 12 jina lake limegonga tena headlines baada ya wimbo wake mpya ‘Aje’ kuvuja lakini habari zinaeleza  kuwa video ya wimbo huo mpya wa Alikiba aliomshirikisha rapper kutoka Nigeria M.I utaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa ya May 13 2016 ila audio yake imesambaa mitandaoni kwa maana ya kuvuja unaweza kuisikiliza hapa mtu wangu.
3

Tazama Hapa Video Mpya ya Wimbo Mpya wa ALI KIBA Unaoitwa Lupela

Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu aitazame… ni video ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita…. ukishaitazama acha na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae ajue mashabiki zake wanasemaje.

 

UNATAKA KUONA PARTY YA ALIKIBA KUILETA LUPELA ILIVYOKUWA? TAZAMA HII 
VIDEO HAPA CHINI


3

New video: Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)

Ni wimbo wa pamoja wa Alikiba na Christian Bella na video ilifanywa Afrika Kusini… itazame hapa chini alafu tuachie comment yako umeionaje na itawafikia. 3

Exclusive: Ben Pol Aeleza Kwanini Alimuandikia Alikiba Tweet iliyozua Utata Mkubwa!

Ali Kiba na Ben Pol
Ben Pol amesema tweet ya utata aliyomuandikia Alikiba, alikusudia kumtumia kwenye ujumbe wa siri wa mtandao wa Twitter (DM) lakini akakosea na kuiweka wazi!

Juzi kupitia mtandao huo, Ben Pol alimuuliza Alikiba swali, “Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?”

Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wamekuwa wakiambiana ukweli kuhusu muziki na maisha yao ili kuwekana sawa.

“Ile tweet kwanza nilikuwa nataka iende DM,” alisema.
“Unajua sisi wasanii tunaongeaga tu, mtu anaweza akakwambia ‘mwanangu mbona hauna kiki.’ Kwahiyo mimi nilikuwa naipeleka ile tweet DM, lakini nikaipost kimakosa ikaenda public,” alifafanua.

“Mimi pale kitu kimoja kimenichanganya, watu wengine wamesema poa, wengine wanasema hapana, wengine wanatukana kwahiyo kwa kifupi hali imekuwa tafrani.”

“Sasa Ali alivyoona labda na yeye amelipokea vibaya baada ya kuona nimeweka public ndio maana akajibu namna ile. Kwa sababu hajanipigia akaniuliza mbona mwanangu umeandika hivi? Ila yeye aliona kama noma na iwe noma. Mimi haijanigharimu, labda kwa sababu watu wanaandika vibaya kwenye mitandao ya kijamii lakini hii ni kawaida lakini nachotaka watu wajue nilitaka tweet iende DM. Sijawahi kugombana naye, hatupo pamoja mara nyingi lakini tupo pamoja,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Ben Pol amewataka mashabiki wake kuitazama video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ aliyoiachia wikiendi hii.

Source:Bongo5 3

Nakukutanisha na Video inayoashiria kuwepo mapenzini Jokate na Alikiba.

jojo
Mchana wa jana Aug 14 kwenye kipindi cha XXL kwenye kipengele cha You heard alisikika Alikiba na ilikua ni baada ya kusemekana wazazi wa Jokate hawajawa tayari kumuozesha binti yao Jokate kwa sababu Alikiba muislam wakati Jokate ni mkristu.
jojo2 
Saa chache zilizopita mrembo Jokate amepost picha ikimuonyesha Alikiba akiimba kisha akaipa maneno ‘My Everything‘ picha hiyo imepata comment nyingi na comment nyingi zimwasifia kuwa wanaendana hivyo waweke wazi’
Hii ni video aliyopost Jokate.

3

Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa

Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.

Hongera kingkiba.
http://www.jimmcarter.com/2015/07/usikilize-huu-wimbo-wa-alikiba.html
3

Battle: Kwa Mara Nyingine Tena Wale Mahasimu Wawili wa Bongofleva Nchini Wamekutana TUZO ZA AFRIMMA

Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS, Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.

Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!

Ingia Hapa Kupiga Kura: http://afrimma.com/nominees-2015/ 3

Ali Kiba: Huwa Nasikiliza Nyimbo za Mwanamuziki Diamond Platnumz

Ali Kiba received a king’s welcome when he arrived in Kenya for the third cycle of the Coke Studio Africa Recording earlier this week, but that was nothing compared to the love that Kenyans on social media showed him as he was interviewed by Lillian Muli for #OneonOne .

His name shot to the top of the trends as Kenyans on social media reminisced on his golden oldies like Cinderella and Mac Muga. Requests also came streaming in for his new hits Mwana and Chekecha Chekechea.

Kiba, who recently came back to the music scene after a three year hiatus, walked away with six prestigious trophies at the 2015 Kilimanjaro Awards beating internationally acclaimed artist Diamond Platinumz.



Speaking candidly during the Citizen TV interview on Friday night, Kiba rubbished claims that he won the Kilimajaro awards unfairly.

“I feel like I am the best and I deserved the awards that I won. My fans missed my music and they voted for me. That is why I won six out of the seven categories that I was nominated for,” he said.

When asked about his relationship with Diamond, Kiba refuted rumors that they two are on bad terms.

“Don’t believe what you hear out there. There’s no beef between me and Diamond, and there has never been. I can assure you that Diamond and I have never fought over anything,” he said emphatically.

He however intimated that he gets irritated when people compare him to the Mbagala singer.

“I am me and Diamond is Diamond. We each have our own musical styles. I do my music in a way that only I can. So, I will not feel that because Diamond is out there doing collabos with others that I must do the same,” he said.

He was also quick to refute claims that he dedicated his new hit single Mwana to Diamond, but he admitted that he does listen to his Diamond’s songs.

In addition to his music, Ali Kiba is campaigning for conservation of Africa’s wildlife alongside Oscar Award Winning Actress Lupita Nyongo. SOURCE: CITIZENS TV 3

ALI KIBA Akana Vibaya Kuwa Ana Bifu na Diamond..Adai Alistahili Kushinda Tuzo Alizoshinda KILL Awards na Kumbwaga Diamond

Msanii kutoka Tanzania Ali Kiba ambaye amejitokeza tena katika ulingo wa muziki baada ya kupumzika kwa miaka mitatu amepuuzilia mbali madai kwamba alipendelewa katika tamasha la tuzo za Kilimanjaro.
Ali kiba ambaye alipata tuzo sita na kumshinda msanii wa kimataifa Diamond Platinum amesema kamwe hakupendelewa na kwamba ni muziki wake unaopendwa na wengi.
Akizungumza katika mahojiano na runinga ya Citizen siku ya ijumaa usiku nchini Kenya,Kiba amesema kuwa anahisi yeye ndio bora na kwamba ilikuwa haki yake kushinda tuzo hizo.
''Nahisi kwamba mimi ndio bora na nilifaa kushinda tuzo hizi.''Mashabiki wangu waliukosa mziki wangu na ndio maana walinipigia kura na ndio maana nilishinda tuzo sita kati ya saba nilizoteuliwa'',alisema.
Na alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond,Kiba alikana madai kwamba wawili hao hawana uhusiano mwema.
''Sina uadui wowote kati yangu na Diamond na haujakuwa''. Naweza kukuhakikishia kuwa mimi na Diamond hatujapigania kuhusu chochote''.
Hatahivyo amesema kuwa inamkera wakati watu wanapomlinganisha na mwimbaji huyo wa Mbagala.
Alisema:Mimi ni mimi na Diamond ni Diamond 3

Ali Kiba Kataja Sababu za Kwanini Hamfollow mtu Hata Mmoja Instagram

Ali Kiba 
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.

Katika post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kuongea na Ali Kiba na kumuuliza swali hilo, majibu yake ni haya hapa


  • “Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha”
3

Video ya Alikiba ‘Chekecha Cheketua’ yafikisha views zaidi ya laki 1 ndani ya saa 24

Video ya Alikiba ‘Chekecha Cheketua’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa muziki ndani na nje ya Tanzania imepata mapokezi mazuri toka ilipooneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban.

Baada ya video hiyo iliyoongozwa na director Mnigeria, Meji Alabi na JM Films kuwekwa mtandao wa Youtube kwenye channel ya Alikiba, imepata views zaidi ya laki moja ndani ya saa 24.

Haya ni mafanikio kwa Alikiba ambaye kwa sasa yuko jijini Nairobi, Kenya akishiriki kwenye msimu mpya wa CokeStudio.

‘Chekecha Cheketua’ ni wimbo wa pili baada ya ‘Mwana’ kutoka kwa Alikiba akiwa chini ya ROCKSTAR4000. 3

Vitu Nilivyopenda Kwenye Video Mpya ya ALI KIBA iliyotoka Jana na Kuacha Gumzo Mitandaoni..

Nimependa jinsi furaha ilivyo tawala kwenye video hii. Nimependa jinsi stylist alivyochagua rangi za nguo za wahusika ambazo zimeendana vyema kabisa na rangi za kuvutia zilizowatala kwenye location. Rangi za nyumba, magari ziko on point balaa – kila kitu kinaonekana kiliweka kwa hesabu kali sana hapa. Navutiwa mno na yule dancer wa kike aliyekuwa anaangalia gari lake lililoharibika na Alikiba aliposogea kutaka kumsaidia wakaanza kucheza, connection na chemistry hatari sana hapo inaonekana – kama wanafahamiana kitambo.

Wale dancers wanaocheza mbele ya kiduka chenye spika mbele yake wako on point. Yule demu point 5 aliyevaa kofia kama ya Michael Jackson yuko on point na kapendeza sana – Alikiba pia anaonekana kummudu vyema. Quality nzuri kabisa inayovutia machoni. Picha hazijapikwa wala nini – natural kabisa! Kimsingi hii ni video kali na niamini kuwa itaufanya wimbo huu kuwa mkubwa zaidi Afrika. I love it. Watch it, Enjoy and stop comparing!
Shout Outs kwa @officialalikiba na director @mejialabi ‪#‎TeamTanzania‬

By Fredrick Bundala3

Sifurahishwi na uadui wa team za mitandaoni lakini sina nguvu ya kuzuia – Alikiba


Alikiba amekiri kutofurahishwa na uhasama unaondelea kati ya mashabiki wake na mashabiki wa Diamond Platnumz kwenye mitandao ya kijamii japo amesema hana uwezo wa kuzuia hali hiyo.


  • “Unajua sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sasa unapoona mambo yanatokea kama hivyo huwezi kufanya chochote na mimi siwezi kuingilia suala lolote la mashabiki,” Alikiba amekiambia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.



  • “Lakini kiukweli sifurahishwi nalo kama kuna uwezekano wangeacha tu. Kiukweli tusupport vya kwetu ili tuwende kwenda mbele.”
3

Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba

Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV.


  • “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali. Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best,” alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba.



  • “Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.”


Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia! 3

ALI KIBA Awaonyesha Mashabiki wake Picha za video yake Mpya (Picha)

Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.
Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:

  •  Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha
Alikiba akiwa na Meji Alabi
3
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips