Baada ya video hiyo iliyoongozwa na director Mnigeria, Meji Alabi na JM Films kuwekwa mtandao wa Youtube kwenye channel ya Alikiba, imepata views zaidi ya laki moja ndani ya saa 24.
Haya ni mafanikio kwa Alikiba ambaye kwa sasa yuko jijini Nairobi, Kenya akishiriki kwenye msimu mpya wa CokeStudio.
‘Chekecha Cheketua’ ni wimbo wa pili baada ya ‘Mwana’ kutoka kwa Alikiba akiwa chini ya ROCKSTAR4000. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment