Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Irene Uwoya Ajibu: “Kweli nina Mahusiano ya Kimapenzi na Msami na Tumeanza Siku Nyingi

Irene Uwoya Ajibu: “Kweli nina Mahusiano ya Kimapenzi na Msami na Tumeanza Siku Nyingi


Jana May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.
Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips