Baada ya kuacha Madawa ya kulevya kwa sasa Ray C amenenepa sana tofauti na muonekano wake wa Mwanza kipindi kile cha kiuno Mfupa...Je unapenda muonekano upi kati ya huu wa sasa na ule wa zamani wa kiuno mfupa? ....cheki picha zake hapo chini
halafu u tupie comment zako.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment