Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana
Kuadhiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha Kudhoofika Mwili ...
Japo Ray C amesema hayo ila Mwanamuziki Daz Baba Siku si nyingi alihojiwa na Radio moja Maarufu Bongo na Kusema yeye hatumiii Madawa ya Kulevya Hata Kidogo Bali Hupenda tu Kukaa Vijiweni na masela wanaotumia Madawa ila yeye hatumiii....
Je kuna Ukweli wowote kuwa Daz Hatumii Madawa bali anasingiziwa tu?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment