Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Amboni Tanga: Askari Polisi wapambana na Majambazi wenye silaha za moto; JWTZ walazimika kusaidia

Amboni Tanga: Askari Polisi wapambana na Majambazi wenye silaha za moto; JWTZ walazimika kusaidia

Picha Aihusiani na Tukio 
Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi....


Inasemekana walienda kumkomboa mwenzao aliyekamatwa na polisi. Polisi watatu wamejeruhiwa na wameomba msaada toka JWTZ...

Mwenye taarifa zaidi atujuze...
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips