Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua

Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua

Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole  na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.



"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" .
Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.

Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone haraka.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips