Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mbunge wa CCM Awasha Moto Bungeni.....Awataka Wananchi Wasiichague CCM

Mbunge wa CCM Awasha Moto Bungeni.....Awataka Wananchi Wasiichague CCM

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe kama maji ...

hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika majiadiliano ya hoja za kamati bungeni leo.

Pia Lugola amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji wanaokiuka masharti ya uwekezaji na kuwanyanyasa wananchi huku akimtaka Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi kushughulikia vilivyo kero za ardhi.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips