Maskin timu yetu ya Taifa wenyewe tunaipenda lakini mpira unatutosa hivhivi yan! Juzi tu mashabiki wamewafata mazoezini nakuwazomea na kuwapiga mawe kwa ajili ya wiki iliyopita ilipigwa 3-0 na Misri. Sasa Usiku wa jana mechi imeisha imepigwa tena na Uganda the cranes bao 3-0. dah lkn tutafanyaje sasa ndio timu yetu tuendelee kuonyesha uzalendo wa kuipenda tuuuu maana ndio cha kwetu.
Japo inauma si eti jaman sijui tatzo nini maskini!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment