Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Tamko La Ray Kuhusu Picha Chafu za Msichana Kwenye Account ya Facebook Yenye Jina Lake

Tamko La Ray Kuhusu Picha Chafu za Msichana Kwenye Account ya Facebook Yenye Jina Lake


TANGAZO. Wadau katika watu naowaeshimu duniani ni wanawake maaana najua halisi ya mwanamke ni mama zetu wametuweka tumboni miezi 9 kwenye shida na rahaa.

Sasa wacha nirudi kwenye point yangu ya msingi kuna mtu kafungua account fake kwenye facebook nakujiita vicent kigosi kwanza kabisa kulikuwa na utapeli wa yeye mwenye account hiyo fake kwa kusema eti kuwa mimi nahitaji wasanii kwa hiyo alikuwa anawalipisha watu pesa ilo nililikanusha na kuwaambia watanzania kama ni account fake wala sio mimi.

La pili sasa lilionisikitisha kabisa kampost mwanamke akiwa uchi ni udhalilishaji mkubwa sana mimi ni mtu mzima mwenye heshima kubwa sana kwenye nchi hii siwezi fanya huo upuuzi simfahamu huyo dada wala sijawahi kumuona kwenye maisha yangu hiyo account fake wala hainihusu asanteni kwa usumbufu uliojitokeza.

 Vicent kigosi ‘Raythegreatest’  ameandika hayo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram.

Pole sana Ray. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips