Flora Mvungi na Mtoto wake Tanzanite |
Akizungumza na Clouds FM,H:Baba alisema kuwa katika filamu hiyo ambayo hajaitaja jina Tanzanite amecheza kama mtoto aliyetekwa na watu waliodhania kuwa mtoto huyo ni mlemavu wa ngozi ‘Albino’.
‘’Mimi na Frolah tumecheza kwenye filamu hiyo na Tanzanite kama mtoto wetu amecheza nafasi nne kwenye filamu hiyo kuna watu wanamteka mtoto wangu wakidhani kuwa ni albino ndiyo maana tulimpaka hina kichwani ili afanane lakini baadaye wanagundua kuwa mtoto huyo siyo albino,’alisema H:Baba.
Hiyo ni filamu ya tatu wasanii hao kumshirikisha mtoto wao chini ya kampuni yao ya Double H Film WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment