Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha ya Mahaba ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Yazua Jambo, Mashabiki Wamtaka Aanzishe Project na Dimpoz Kumsahau Diamond

Picha ya Mahaba ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Yazua Jambo, Mashabiki Wamtaka Aanzishe Project na Dimpoz Kumsahau Diamond

Baada ya Picha ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Kuwekwa Mtandaoni ikionyesha wawili hao kukaa mkao wa kimahaba huku wema Sepetu Akimtumbua Ommy Dimpoz Chunusi Usoni ..Washabiki mbali mbali wa Wema Wamesifia Picha Hiyo na Kusema.........
Wamependezwa na Wawili Hao Wanavyopendeza na Kuwataka waanzishe Project Mpya , wakiwa na maana wawe wapenzi , Mashabiki wengine walikwenda mbali zaidi na kumwambia Wema Atoke na Ommy Dimpoz ili Amsahau aliyekuwa Mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz ambae kwa sasa anatoka na Zari the lady Boss wa Uganda..

Baadhi ya Comments za Mashabiki Kutoka Instagram hizi Hapa:

husna1112
pendeza sana my wema huyu ndo mwanaume anaga makuu yuko humble sana

theresiasebastiane
Gooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal hapana refa kaotea dimpoz unataka ufunike 2015 tulia na huyo ndo mwanamke bright na katulia yaani umeokota dodo kwenye mti wa ubuyu pyeeeeeeee refa anzisha mpira ligi imefika patamu

schollah24
Mewapenda b ureeeeeeeeeeeeeeeee @ommydimpoz @wemasepetu

vquetamari
Kwa mfanooooo  ikawa kaukwel??

Je Unaona Wanaendana?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips