Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ommy Dimpoz: Diamond Amepotea Maboya Kwa Kushindwa Kumpetipeti Wema Sepetu na Kumtumia Ipasavyo

Ommy Dimpoz: Diamond Amepotea Maboya Kwa Kushindwa Kumpetipeti Wema Sepetu na Kumtumia Ipasavyo


Katika kile kinachoashiriankuwa ni kunogewa na joto la mahaba, mwanamziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ nadaiwa kuanza kumcheka  swahiba wake Diamond Platnumz kwa kushindwa "kumpetipeti" na kumtumia ipasavyo aliekuwa mpezi wake Wema Sepetu.



Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu  na Ommy zinasema kuwa  mwanamuziki huyu amekuwa akitoa maneno matamu matamu akimsifia Wema na wakati mwingine akimnanga Diamond.

“Inawezekana kwamba wapo katika project lakini ukweli ni kwamba Wema amtawala Dimpoz akilini,mazungumzo yake yote ni kuhusu Wema na anadai kuwa Diamond amepeotea maboya kuachana Wema kwani nyota ya Wema haizuiliki hata kwa radi”, alisema  rafiki huyo. Hii ni kwa mijibu wa gazeti la KIU.

Lakini kwa ujumla mahusiano baina ya wawili hawa bado yanawaweka watui njia panda kwani sio Ommy wala Wema aliejitokeza hadharani na kuthibitisha mahusiano yao, lakini mbwembewe za wapambe wao kwenye mitandao ya kijamii zionyesha kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wengine wakiamini kuwa Ommy anataka kung’aa kupitia nyota ya Wema na hakuna swala la mahusiano ya kimapenzi. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips