Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Dansa wa Diamond Aonekana Mtaani na Nguo za Mume wa Aunty Ezekiel Ambae Yupo Jela

Dansa wa Diamond Aonekana Mtaani na Nguo za Mume wa Aunty Ezekiel Ambae Yupo Jela

Gazeti la Kiu Limetoa Siri kuwa Dansa wa Diamond Moses Iyobo amedaiwa kuanza kurithi mali za mume wa Msanii Aunty Ezekiel, Sunday Demonte Ambaye yupo Gerezani nchini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha Miaka Kumi .

Mali anazodaiwa kurithi Iyobo ni pamoja na nguo anazodaiwa kuonekana nazo mitaani na kwenye Show za Diamond..Chanzo cha ndani kinasema nguo hizo ni zile alizokwenda kuzichukua Aunty ezekiel nyumbani kwake nchini Dubai siku chache baada ya Demonte kusekwa Jela..

"Kuna uwezekano Iyobo hajui kama nguo hizo ni za Demonte lakini ukweli ndio huo, nguo hizo sisi tunazijua na Demonte alikuwa akizivaa sana Dubai sasa tunashangaa mtu hajafa nguo zake zimesharithishwa kwa mwanaume mwingine" Kililalamika Chanzo cha habari hii

Aunty Ezekile alipotafutwa kuzungumzia hilo Simu yake iliita bila Kupokelewa...

Je kama ni Kweli ni Sasa Anavyofanya?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips