Habari inayozunguka mitandaoni ni hii hapa:
- Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.
Tunaomba serikali itolee ufafanuzi Habari hii au kama kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment