Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Taji lingine kwa Serena Williams baada ya ushindi huu

Taji lingine kwa Serena Williams baada ya ushindi huu

Serena Williams
Pamoja na Serena Williams kutokuwa katika hali nzuri kiafya baada ya kusumbuliwa na mafua, aliweza kufanya vizuri katika fainali za michuano ya French Open zilizomalika jana.
Serena amefanikiwa kumshinda mpinzani wake Lucie Safarova katika fainali za mashindano ya French Open na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindao hayo.
sere2
Serena mwenye miaka 33 amekuwa ni mchezaji wa tatu kushinda mataji 20 ya peke yake.
  Gallos Official BlogWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips