Jamani mimi sijui mshamba au ndo
kupitwa na mambo , hivi hii staili ya kuvaa sketi kwa wanaume ndio
fashion sasahivi ama? Jana Diamond aliingia na sketi hiyo hapo juu
....nikabaki midomo wazi......Je ni sawa?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment