katika Game hili la muziki wa Bongo Fleva, kwa kuchukua tuzo zote katika kila kitengo alichokuwa anawania, baada ya ishu nzima kuisha, haya ndio maneno ya Wema ya kwanza kuandika , Wema Sepetu aliandika kupitia Account yake ya instagram;
“Yaani mpaka hadi kuzipanga unashindwa unaanzaje kupanga… He managed to snatch dem all…. My champion…. We hav an award for erday…. Monday to Sunday baby…. Yaaaani #tikaTika….. Im a proud girl…. Sooooo proud… Salute to U Champion… .dpufWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment