Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul
a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni
msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014
(KTMA).
Diamond amejinyakulia tuzo:
Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.
Hakika Diamond ameonyesha ukali wake, na kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi na anapendwa na watu.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment