Hapa nimekuwekea maoni mbali mbali ya Wadau:
Boss Hogg2
Thats it am going to TZ... Hey tanzanians, place gani poa ya kupata madem wana mizigo huko kwenu... Area gani na club gani.. Mtu anijibu
Ado Ashu1
Astaghfirullah!! Mna laana wote mliojidhalilisha ktk hii nyimbo. Ama kweli thamani ya mwanamke inapotezwa na watu wachache kama nyie.
Niyongabo Idrissa
Mnaosema video haina maadili mnatafuta nini youtube?
La Shay Glenn2
Wanaosema hii tradition mjiulize kwa nini snura asijiweke hapo,halaf hao wanawake wamevaa mask....obvious its wrong in many ways
emanuel kilima10
Oooops ladies and gentlemen nimeipenda hii video...its a nys twirking style....kiukwel watu wanaonesha umahiri waoh....katika kudance...kipaji hicho ww unaweza? Dont say dat kwamba video haina maadili kwako tuu ndo itakuwa haina maadili......big up sana snura....tumeipenda hiyoo..
Ali Khamis
Mhu snura na hao madada mnajiuza?
Thomas Noel23
mnaojifanya kukejeli Hii video wenyewe mna madhambi kibao
Jerry Pharel20
You guys mnaokuja with maadili comments here I think hamjawahi tembele ngoma za uswahilini.
This song is mchiriku (singeli) style, did u expect a video to be in love story type of way?
If u dont like it dont watch it.
Snura u done it right girl!
La Shay Glenn2
Aliekuambia kurusha mitako ni tamaduni ni nani.....Snura mwenyewe hajaweka sura yake hapo plus hao wadada wana mask kuficha id zao....obviously its wrong khaaa....get in ur senses bro
lvyl bby dol17
Ameshaxema yy mwnywe basata kaifungia YouTube xaxa ww mweny maadili unatafta nini uku kwa chura
Kedrick Ross15
Jamani jamani jamani, aisee.Hii wimbo inachangamsha kinouma sana. nimeipenda beat inavyokakamua na hao wanawake kucheza kwa uchangamfu. Yaani utamaduni uenee.Yaani bora hivi kuliko kucheza nusu uchi kama marekani.Full respect of our ngoma dances. Wanaosema si maadili kwani ngoma za vijijini vilichezwaje? Khaa,mkiendelea na mambo kama hayo mnadhani tutafika mbali? Nyimbo za kuchangamka kama hizi na video vinaoheshimu uchangamfu huo ndo itabeba kucheza huko
Itazame Video Hapa:
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment