Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya
Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond
Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya Kuzipeleka
Nyumbani Kwake...Pia inasemekana Ule Ukaribu wa Diamond na Mama Yake
Siku hizi Umepungua Hata Kwenye Tuzo za Kill Mama yake Hakuudhuria Kama
Kawaida yake na Tulivyomzoea....Wengine Wameanza Kusema kuwa ni
Kwasababu Mama yake Hamkubali Wema Sana So siku hizi Anajitenga...Pia
Dada Yake wa Hiari Halima Kimwana Hakuonekana Ukumbini kwa Kile
kinachosemekana aliogopa Team Wema Kumzodoa....
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
» Tuzo za Diamond Zazua Balaa..Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka
Tuzo za Diamond Zazua Balaa..Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment