Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila kona Akiwa na Kijana
Anayejulikana kwa jina la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo ni
mchumba yake kabisa na Nyumbani wameshajitambulisha kila kitu kiko sawa
na Wanasubiria Ndoa tu Ambayo itakuwa hivi karibuni....Mara ya mwisho
walionekana pamoja siku ya Tuzo za Kill Pale Mlimani City ...Mchumba
wake Ni yule Kijana Aliyepata umaarufu Baada ya kuingia Uwanjani siku ya
Taifa Stars na Brazil na kwenda Kumkubatia Ricardo Kaka huku Mpira
Ukiendelea.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment