Hongera Ney Wa Mutego na wengine waige mfano wako! Sio lazima
mtubandikie majibu kwa mitandao lkn iwe utaratibu kupima afya ili
ujipange kimaisha... na isiishie kwa HIV tu, magonjwa ni mengi ni muhimu
kujifahamu kuepukana na mengi.
Majibu yake Ndo haya Hapa chini:
Afya njema ndo mpango mzima!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment