Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika
mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa
social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu. Hii imetokea
jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.
Juzi kwenye msiba wa Rechal pale makaburini kulikuwa na makundi huku
Kajala akiwa na sare tofauti na as well Wema alivaa sare ya peke yake
lakini hii inaweza kuwa tofauti katika msiba wa Tyson kwani wawili hao
walipatanishwa wakiwa msibani hapo na kuamua kuyamaliza kwani hakuna
mfano mzuri katika maisha ya mwanadamu kama kifo, kwani kinamkumbisha
kila mmoja wetu kuishi vema na kwamba kesho tutaondoka
Wawili hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na Instagram
kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea
mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au
bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .lets hope
wamesafisha mioyo yao na waishi kama zamani.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment