Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » NGOMA AFRICA BAND YATOA RAMBI RAMBI KATIKA KIFO CHA MZEE GURUMO

NGOMA AFRICA BAND YATOA RAMBI RAMBI KATIKA KIFO CHA MZEE GURUMO

NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YATOA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)

Tumepokea kwa udhuni na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na

Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania.Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu.Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi munguamlaze mahala pema peponi marehemu Mzee Muhidin Maalim
Gurumo (RIP)Amina

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips