Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Wasira Kutia Aibu na Suti yake, Adamu Mchomvu Ajitolea Kuwa Designer Wake wa Suti

Baada ya Wasira Kutia Aibu na Suti yake, Adamu Mchomvu Ajitolea Kuwa Designer Wake wa Suti


Wasira wa Pili Kushoto akiwa na Viongozi wa Kanisa la Kisabato Uwanja wa Taifa huku Koti la Suti likiwa Limekosewa Kufungwa vifungo
Baada ya Suti ya aliyovaa Mh Wasira kuleta Ngumzo Mitandaoni , Leo Katika Kipindi cha XXL Clouds FM Mtangazaji Maarufu wa Kipindi hicho Adamu Mchomvu Amesema Kama Mh Wasira Atakubali Anajitolea kuwa Designer wa Suti zake za Mitoko ili Asitie Aibu TenaWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips