WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mwanamuziki Davido Kutoka Nigeria Apata Mchumba...(He is Taken) Wink* Wink
Baada ya Mwanamuziki Maarufu Kutoka Nigeria Davido Kukaa Muda mrefu bila
kuwa na Girlfriend Huku Wasichana mbali mbali Africa wakipiga chapuo
kupata nafasi ya kuwa na Kijana huyo Machachari Hatimae Moyo wa Davido
umeangukia kwa Msichana kutoka nchi ya Guinea ambayo anaishi Marekani
Kwa Sasa..kwa takribani mwezi sasa Davido anaonekana na mrembo huyo kila
kona anazoenda...Na mwenywe amepost picha ya msichana huyo kwenye
instagram yake na kuandika 'SHE IS MY TRAP LET HER HIT DA BANDO!"
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment