Usiku wa March 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike kushinda tuzo mbili, kila mmoja akishinda tuzo moya kutoka Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, hii hapa chini ni video ya Lulu na Single Mtambalike walivyotangazwa washindi..
Home »
Bongo Move
,
Lulu Michael
,
VIDEO
» VIDEO: Watanzania walivyochukua tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, Lagos Nigeria usiku wa March 5
VIDEO: Watanzania walivyochukua tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, Lagos Nigeria usiku wa March 5
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Bongo Move,
Lulu Michael,
VIDEO
0 comments:
Post a Comment