Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » List ya Nyimbo za Bongo Flava Zinazokwenda International Inazidi Kuongezeka Tanzania….

List ya Nyimbo za Bongo Flava Zinazokwenda International Inazidi Kuongezeka Tanzania….

Wimbo kuchezwa kwenye kituo cha Kimataifa ni good news kwa wasanii, muziki wa Bongofleva unazidi kupata rotation kubwa Barani Afrika, March 8 2016 Trace TV imeanza kucheza wimbo wa Darassa ft Rich Mavoko   ‘Kama Utanipenda‘

,’Kama Utanipenda‘ imezichukua headlines tena baada ya video hiyo kuchezwa kwenye moja kati ya kituo kikubwa cha TV Africa  ‘Trace Tv‘,  Video ya wimbo huu umefanyika nchini Tanzania chini ya Director Hanscana

huu ni ujumbe aliopost Director Hanscana baada ya Video ya ‘Kama Utanipenda’ kuchezwa kwenye Trace TV

Hanscana_’s/o to @tracenigeria to premiere #kamautanipenda kwa upande wa tv za kimataifathank you so much @tracenigeria .Na ntazidi kukaza mpaka mwisho tutakutana tu huko huko .@darassacmg ft @richmavoko #kama_utanipenda #kamautanipendaGUSA LINK KWENYE BIO YANGU KUITAZAMA‘ WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips