Kuna baadhi ya wabunge lazima warudi bungeni kwa ushindi wa kishindo na wengine hata wakionga migodi hawawezi kurudi mfano ni Tibaijuka na Asumpta Mshana.
Baada ya kuzunguka nchi nzima nikifanya research nimepata haya majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi
.Sugu, Wenje, Lissu, Mnyika, Mbatia, Mdee, Joseph haule, Msigwa, Mkosamali na Kafulila
Embu na wewe nipe majina ya wabunge ambao tayari wameshinda kwa AJILI ya bunge lijalo WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment