Mkali wa nyimbo za asili na mashairi Mrisho Mpoto amechilia Video yake leo March 5 2016 inaitwa ‘Sizonje’ ambayo kamshirikisha Banana Zoro.
Unaweza
kuitazama na ukishaitazama hii video unaweza kuacha comment umeionaje
idea au chochote kingine ulichonacho ili ajue mashabiki wanasemaje.
Ulimiss alichosimulia Mrisho Mpoto jinsi Rais JK alivyohisi wimbo wa ‘Mjomba’ unamsema yeye
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment