WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Ukawa Wakatazwa kujenga Jukwaa Jangwani-Hii sasa Vita Police vs Ukawa
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 , hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo. more news and pictures to come, stay tuned. Aluta Continua...
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment