Kijana anayejulika kama Mayunga ameitoa kimasomaso Tanzania
 baada ya kushinda shindano la music lijulikanalo kama Airtel Trace 
Music lililoshirikisha nchi kumi na mbili za Africa ,  shindano hilo 
lilifanyika jumamosi iliyopita nchini Nairobi ..Kwa ushindi huo Mayunga 
amepata deal la kuwa chini ya Record label ya Mwanamuziki Akon 
ijulikanayo kama Kon live na  Universal music Group.... Mayunga 
anaungana na kina Diamond na Idriss katika kuitangaza Tanzania vizuri 
katika ramani ya Dunia kwenye maswala ya burudani
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
MICHEZO
 » Watanzania Twazidi Kuwa Juu kwenye Burudani Africa..Mtanzania Ashinda Shindano la Airtel Trace Music 
Watanzania Twazidi Kuwa Juu kwenye Burudani Africa..Mtanzania Ashinda Shindano la Airtel Trace Music
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja 
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
 
0 comments:
Post a Comment