|
Lowassa |
Akiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo
waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema
hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu
eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko
hivyo amemdharau!
Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu
wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya
jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment