Yemi Alade yupo zake Italy akiendelea
na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa ndani ya nchi hiyo alifanya show
ambayo fans walioshuhudia walionekana kuenjoy.
Hitmaker huyo wa single ya Jonny mbali
ya kutoa burudani ya aina yake akiwa stejini alipata time pia ya kupiga
selfie na mashabiki wake huku akiwataka wacheze pamoja.
Katika ziara yake Yemi Alade atatembelea nchi mbalimbali zikiwemo Ujerumani, Switzerland na Ufaransa.
0 comments:
Post a Comment