Mtandao wa Bongo5.com umepata
nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii ambayo
imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa mwezi March
2015.
Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama
wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia
pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.
Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

0 comments:
Post a Comment