Zitto Kabwe: Wabunge zaidi 50 wa vyama Mbalimbali Kujiunga na ACT-Wazalendo
Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo , Zitto Kabwe amesema zaidi ya
wabunge 50 kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini watajiunga na Chama
chake kipya cha "ACT", wakiwemo wa CCM na Chadema.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:
Post a Comment