Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Afya ya Mke wa Mwanamuziki Mabeste, Lisa yaanza Kuimarika

Afya ya Mke wa Mwanamuziki Mabeste, Lisa yaanza Kuimarika


Afya ya mke wa rapper Mabesste, Lisa Karl Fickenscher imeanza kuimarika kutokana na hivi karibuni kuwa mbaya.

Lisa anasumbuliwa na tatizo la moyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mabeste ameamua kutoa taarifa za maendeleo ya mke wake: Aje u good? Hey Maendeleo ya Lisa Lisa Karl Fickenscher OR My Wife kiafya Anaendelea vizuri Namshukuru saaana MUNGU pili na kushukuru wewe pia thanks saana Weekend njema.”

Pia Mabeste aliweka picha nyingine akitoka shamba na mke wake na kuandika: Ndio twatoka shamban sahii Mungu endelea kubariki My family.”

Mabeste aliamua kuomba msaada kutoka kwa watu mbalimbali ili kumsaidia kupata fedha za matibabu ya mke wake huyo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips