Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba

Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba

Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV.


  • “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali. Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best,” alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba.



  • “Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.”


Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia! WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips