Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu.
Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".
Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popoteWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment