Ligi Kuu soka Tanzania
bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya
October 28 na Alhamisi ya October 29. Ligi hiyo inaendelea kwa michezo
kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali ambapo uwanja wa Taifa Dar Es Salaam utapigwa mchezo ambao unatajwa kuwa na presha kwa kocha wa Simba Dylan Kerr ambaye kuna tetesi kuwa uongozi wa Simba umempa mechi mbili afanye vizuri ili kunusuru kibarua chake.
Hii ni ratiba ya mechi za October 28 na 29.
Chanzo:tff.or.tz
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment