Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania
tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee
kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine
wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika
nafasi ya Kwanza katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania
wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya
kijamii basi anaweza Kushinda Tuzo Hiyo.
Msimamo Upo Hivi Kwa Sasa
Ukitaka Kumuongezea Kura Diamond Basi na wewe Piga Kura Hapa: Bonyeza
<<BET>>WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment