Onyo hilo linakuja baada ya mchungaji Gwajima kuwaambia wafuasi wake wakati wa ibada ya pasaka kumsindikiza makao makuu atakapoenda kuhojiwa.
My take;
Gwajima bora uwazuie wafuasi wako kwani watakula kichapo kikali Kova huwa hatanii waulize wanabawachaWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment