Unaambiwa kwa sasa katika Wanaume wenye Furaha Bongo Basi huwezi
kumwacha nyuma Mwanamuziki Diamond, Furaha hiyo inatokana na Ujauzito
aliompa Mrembo Zari , Diamond ameweka picha hiyo hapo kwenye ukurasa
wake wa facebook akionyesha furaha yake huku akionekana kunawiri na
kutoka shavu dodo........WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment