Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta
Hii
ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu
Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba
hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo
atalazimika kufanya hivy
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment