Star wa hit ya Johnny.. Tangerine.. Taking Over Me.. Kissing.. Karudi tena na hii.
Lugha ya Wanigeria muda mwingine hata wakiongea kiingereza ama kuimba kiingereza inaweza kukupa shida kuelewa wanachoimba.. Yemi Alade kaona isiwe taabu, kaichukua hit yake ya Kissing, kaifanyia REMIX kwa lugha ya kifaransa alafu kampa shavu la collabo Marvin.. Hapo vipi??
Kama uliipenda ya kwanza unaweza kuona na hii nini kizuri kimeongezeka.Kutazama video hiyo bonyeza play hapa chini...
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment