"Chegechigunda this is too much embu koma kunitukana mpuuzi ni we we usiyejua kusoma SMS vizuri..niliandika kwa wema Tu naona mwenzangu umatake advantage huna angle ya promo eh..nyie wanamziki uchwara embu mjiheshimu msipende kugombana Na watu Chegechigunda mpuuzi ni we we... Na kama we we mwanaume Mimi mwanamke!"kaogee..chezea vyeusi hiki chekundu ntakutia DOA...take ur time usione nilinyamazaa weee ....ehee"WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Maimartha Amtolea Uvivu Manamuziki Chege, Amwita Mwanamuziki Uchwara na Mpuuzi
Baada ya Chege kumbwatukia Maimartha aliposema amevaa hirizi kule dodoma
kwenye shoo maimartha aamua kumtolea uvivu vhege na kufunguka instagram
kama ifuatavyo
"Chegechigunda this is too much embu koma kunitukana mpuuzi ni we we usiyejua kusoma SMS vizuri..niliandika kwa wema Tu naona mwenzangu umatake advantage huna angle ya promo eh..nyie wanamziki uchwara embu mjiheshimu msipende kugombana Na watu Chegechigunda mpuuzi ni we we... Na kama we we mwanaume Mimi mwanamke!"kaogee..chezea vyeusi hiki chekundu ntakutia DOA...take ur time usione nilinyamazaa weee ....ehee"WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
"Chegechigunda this is too much embu koma kunitukana mpuuzi ni we we usiyejua kusoma SMS vizuri..niliandika kwa wema Tu naona mwenzangu umatake advantage huna angle ya promo eh..nyie wanamziki uchwara embu mjiheshimu msipende kugombana Na watu Chegechigunda mpuuzi ni we we... Na kama we we mwanaume Mimi mwanamke!"kaogee..chezea vyeusi hiki chekundu ntakutia DOA...take ur time usione nilinyamazaa weee ....ehee"WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment