Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi, yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa wenye supermaket hiyo, watu wengi wameolionekana kupakaza kuwa wawili hao ni Le Project mpya na wengi wakimtupia maneno Wema kuwa hisaa amezidiii na wengine wakimlaumu Idris kuwa ameingia chaka.
Kitendi hiki cha Wema kuzushiwa kuwa na mahusiano na watu ambao anafanyanao kazi kimewakera sana Team Wema na kusababisha timbwili la maneno mitandaoni.
“Imekua kama tabia ya watu ku comment ( yani ndo umeamua kua na wema) ( wema ndo unatoka na huyu) kwa kila mtu anae fanya nae kazi.. Naomba kuwauliza inamana nyie hamuon kama hizo ni kazi?? Mme shindwa tu kwa Millard Ayo na project ya the completePackage kusema anatoka na wema . Watu wameshindwa kutofautisha kati ya X na + ntaomba Diamond awasaidie kuwapa darasa ama ASEME NA NYIYI. Ama nene".
Mmoja kati ya team Wema aliandika mtandaoni.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment