“Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo,mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali najua mawazo yangu pekeyangu yanaweza yasitoshe mimi kufika ninapopataka....najua wapo vijana wengi wenye nia kama yangu..!
Nadhani umefika wakati wa kutumia mitandao ya kijamii kwa kujengana na kusaidiana hasa ki mawazo ili wote tuweze kuwa sehemu flani siku moja.....” Lulu amendika
Nadhani Ujumbe umeeleweka.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment