Alipomtafuta Picco amesema
ni kweli ameacha muziki miezi mitano iliyopita ingawa alikuwa
hajatangaza rasmi na maamuzi aliyofanya baada ya kusoma vitabu na
kuijua dini yake vizuri na kugundua, kuna vipengele ambavyo vinakataza
na kuamua kuiomba radhi management yake iliyokuwa ikimsimamia ingawa
kulikuwa na mvutano lakini baadae walimuelewa.
Amesema
hata ikitokea wimbo wake ukatumiwa kwenye matangazo hawezi kuruhusu
kwa gharama yoyote ile wala media zisipige nyimbo zake kwa kumbukumbu ya
kitu chochote.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza story yoteWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment